Latest Post
NUKUU ZA LEO NA ABRAHAMU LINCON
Give me six hours
to chop down a tree and I will spend the first four sharpening the axe.
.Always bear in mind that your own resolution to succeed is more important than any other.
.Always bear in mind that your own resolution to succeed is more important than any other.
SOMA NUKUU ZA WATU MARUFU DUNIANI AKIWEMO MANDELA,NYERERE NA J.F. KENEDY
“Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani na baathi ya watu wakati wote ila uwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote”
Abrahamu Linlccon: “Raisi wa 16 wa nchi ya Marekani: Serikali ya watu,inayowatumikia watu na iliyowekwa na nawatu haita potea duniani”
Nelson Mandela; “Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia.”
Zifwatazo ni nukuu za watu mablimbali mashuhuri duniani
Mwalimu
Nyerere; “Nibora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizo kufa”
“Unaweza
kuwadanganya watu wote kwa muda fulani
na baathi ya watu wakati wote ila uwezi kuwadanganya watu wote kwa
wakati wote”
Abrahamu
Linlccon: “Raisi wa 16 wa nchi ya Marekani: Serikali ya watu,inayowatumikia
watu na iliyowekwa na nawatu haita potea duniani”
Nelson
Mandela; “Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia.”
“Kichwa
kizuri na moyo mzuri huwa na ushirika”
“Kama
unataka kutengeneza amani na adui yako,tengeneza nae urafiki kisha atakuwa
rafiki yako”
“Inatupasa
tutumie muda vizuri na sikuzote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi”
Thomas
Jefferson: “Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima”
Lucille Ball: “Huwa najutia mambo
niliyoyatenda kulikoo yale ambayo sikuyatenda”
Confucius:
“Ukimia ni chanzo kikubwa cha nguvu”
Lao
Tzu:“Kuwajua wengine ni hekima,kujijua mwenyewe ni marifa makubwa”
Benjamini
Franklin: “Uaminifu ni sera nzuri”
Abrahan
Maslow: “Ukiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari”
Publilius
Syrus: “Kutokana na makosa ya wengine mwenye hekima hujisahihisha”
Aritotle:
“Matumaini ni matumaini yanayotembea”
Plato:
“Maamuzi mazuri huegemea maarifa nasiyo umri”
John F. Kennedy: “Samehe adui zako lakini usisahau
majina yao”
“Ushindi una
baba wengi ila kushindwa ni yatima”
FALSAFA ZA JOHN F KENEDY DHIDI YA MAADUI,MAISHA UMAKINI
.Forgive your enemies, but never forget their names.
SAMEHE ADUI ZAKO ILA USISAHAU MAJINA YAO.
Maana yake hakikisha ya kwamba hauweki kinyongo moyoni na unakuwa makini na hao kwani adui ni vigumu kuwa mwema na huwenda akajifanya hivyo ikiwa ni njia ya kukushinda
Do not pray for
easy lives. Pray to be stronger men.
Usiombee maisha mepesi bali ombea kuwa mtu imara.
Maana yake ni kwamba unapoomba kuwa na maisha mepesi siku zote ni vigumu kupata mafanikio kwani mafanikio hupatikana kwenye changamoto na baada ya kushinda vikwazo ,mfano ni vigumu kuipata dhahabu kama mtu achumavyo tunda ila iliuipate inakubidi uzame mgodini.Kwa hiyo utakapo kuwa na uwezo au uimara utaweza kuvumilia changamoto zote.

.Let every nation
know, whether it wishes us well or ill, that we shall pay any price, bear any
burden, meet any hardship, support any friend, oppose any foe to assure the
survival and the success of liberty.
Acha kila taifa lijue, pale inapotutakia mazuri au mabaya,tutatumia gharama yoyote kuvuka bonde lolote,kukabiliana na lolote lilogumu,kumuunga mkono rafiki yeyote,kumpinga kila mpumbavu kuhakikisha kuishi na mafanikio ya ukombozi.
Maana yake
Uwe tayari kufanya jambo lolote ili ufanikiwe hatakama ni kupinga maadui zako na kukabiliana na magumu yote huku ukiwaunga mkono rafikizako.
WWW.FALISAFA.BLOGSPOT.COM

Falsafa za ushindi na maarifa (busara)
It's
better to be a lion for a day than a sheep all your life.BY
Elizabeth Kenny
Elizabeth Kenny
NIVYEMA KUWA SIMBA KWA MUDA KULIKO KUWA KONDOO MILELE.Inalenga kuwataka watu kutokuwa woga au kuchukuwa maamuzi magumu hatakama wataonekana au kafsirika vibaya katika hali ya ukali zaidi
Winning
is not everything, but wanting to win is.BY
Vince Lombardi
Vince Lombardi
USHINDI SIO KILA KITU BALI KUSUBIRI NDIVYO....Inalenga kuwataka watu kutokukatatamaa pindi maisha au wanapojiona kushindwa katika hali fulani kwani subira pia ni sehemu ya ushindi.
Plato...
MAAMUZI MAZURI HUEGEMEA MAARIFA NA SIO UMRI...Hulenga kuwataka watu kutokufanya maamuzi ambayo sio sahihi kwa madai ya vyeo vyao au umri walionao bali maarifa.
Everything that we see is a shadow cast by that which we do not see. Martin Luther King, Jr.
KILA TUNACHOKIONA NI KIVULI CHA VILE TUSIVYO VIONA