.Forgive your enemies, but never forget their names.
SAMEHE ADUI ZAKO ILA USISAHAU MAJINA YAO.
Maana yake hakikisha ya kwamba hauweki kinyongo moyoni na unakuwa makini na hao kwani adui ni vigumu kuwa mwema na huwenda akajifanya hivyo ikiwa ni njia ya kukushinda
Do not pray for
easy lives. Pray to be stronger men.
Usiombee maisha mepesi bali ombea kuwa mtu imara.
Maana yake ni kwamba unapoomba kuwa na maisha mepesi siku zote ni vigumu kupata mafanikio kwani mafanikio hupatikana kwenye changamoto na baada ya kushinda vikwazo ,mfano ni vigumu kuipata dhahabu kama mtu achumavyo tunda ila iliuipate inakubidi uzame mgodini.Kwa hiyo utakapo kuwa na uwezo au uimara utaweza kuvumilia changamoto zote.

.Let every nation
know, whether it wishes us well or ill, that we shall pay any price, bear any
burden, meet any hardship, support any friend, oppose any foe to assure the
survival and the success of liberty.
Acha kila taifa lijue, pale inapotutakia mazuri au mabaya,tutatumia gharama yoyote kuvuka bonde lolote,kukabiliana na lolote lilogumu,kumuunga mkono rafiki yeyote,kumpinga kila mpumbavu kuhakikisha kuishi na mafanikio ya ukombozi.
Maana yake
Uwe tayari kufanya jambo lolote ili ufanikiwe hatakama ni kupinga maadui zako na kukabiliana na magumu yote huku ukiwaunga mkono rafikizako.
WWW.FALISAFA.BLOGSPOT.COM

Post a Comment