Blogroll

Featured Post Today
print this page
Latest Post

NUKUU ZA LEO NA ABRAHAMU LINCON

Give me six hours to chop down a tree and I will spend the first four sharpening the axe.
.Always bear in mind that your own resolution to succeed is more important than any other.
0 comments

SOMA NUKUU ZA WATU MARUFU DUNIANI AKIWEMO MANDELA,NYERERE NA J.F. KENEDY

 
   Mwalimu Nyerere; “Nibora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizo kufa”
“Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani  na baathi ya watu wakati wote ila uwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote”
    Abrahamu Linlccon: “Raisi wa 16 wa nchi ya Marekani: Serikali ya watu,inayowatumikia watu na iliyowekwa na nawatu haita potea duniani”
    Nelson Mandela; “Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia.”
0 comments

Zifwatazo ni nukuu za watu mablimbali mashuhuri duniani

Mwalimu Nyerere; “Nibora kuishi na fikra hai kuliko kuishi na fikra zilizo kufa”
“Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani  na baathi ya watu wakati wote ila uwezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote”
Abrahamu Linlccon: “Raisi wa 16 wa nchi ya Marekani: Serikali ya watu,inayowatumikia watu na iliyowekwa na nawatu haita potea duniani”
Nelson Mandela; “Elimu ni silaha yenye nguvu yenye uwezo wa kuibadilisha dunia.”
“Kichwa kizuri na moyo mzuri huwa na ushirika”
“Kama unataka kutengeneza amani na adui yako,tengeneza nae urafiki kisha atakuwa rafiki yako”
“Inatupasa tutumie muda vizuri na sikuzote tukumbuke ya kwamba muda huenda sahihi”
Thomas Jefferson: “Uaminifu ni ukurasa wa kwanza wa kitabu cha hekima”
  Lucille Ball: “Huwa najutia mambo niliyoyatenda kulikoo yale ambayo sikuyatenda”
Confucius: “Ukimia ni chanzo kikubwa cha nguvu”
Lao Tzu:“Kuwajua wengine ni hekima,kujijua mwenyewe ni marifa makubwa”
Benjamini Franklin: “Uaminifu ni sera nzuri”
Abrahan Maslow: “Ukiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari”
Publilius Syrus: “Kutokana na makosa ya wengine mwenye hekima hujisahihisha”
Aritotle: “Matumaini ni matumaini yanayotembea”
Plato: “Maamuzi mazuri huegemea maarifa nasiyo umri”
John F. Kennedy: “Samehe adui zako lakini usisahau majina yao”
“Ushindi una baba wengi ila kushindwa ni yatima”


2 comments

FALSAFA ZA JOHN F KENEDY DHIDI YA MAADUI,MAISHA UMAKINI


.Forgive your enemies, but never forget their names.
SAMEHE ADUI ZAKO ILA USISAHAU MAJINA YAO.

Maana yake hakikisha ya kwamba hauweki kinyongo moyoni na unakuwa makini na hao kwani adui ni vigumu kuwa mwema na huwenda akajifanya hivyo ikiwa ni njia ya kukushinda

Do not pray for easy lives. Pray to be stronger men.
Usiombee maisha mepesi bali ombea kuwa mtu imara.

Maana yake ni kwamba unapoomba kuwa na maisha mepesi siku zote ni vigumu kupata mafanikio kwani mafanikio hupatikana kwenye changamoto na baada ya kushinda vikwazo ,mfano ni vigumu kuipata dhahabu kama mtu achumavyo tunda ila iliuipate inakubidi uzame mgodini.Kwa hiyo utakapo kuwa na uwezo au uimara utaweza kuvumilia changamoto zote.

.Let every nation know, whether it wishes us well or ill, that we shall pay any price, bear any burden, meet any hardship, support any friend, oppose any foe to assure the survival and the success of liberty.

Acha kila  taifa lijue, pale inapotutakia mazuri au mabaya,tutatumia gharama yoyote kuvuka bonde lolote,kukabiliana na lolote lilogumu,kumuunga mkono rafiki yeyote,kumpinga kila mpumbavu kuhakikisha kuishi na mafanikio ya ukombozi.

Maana yake 
Uwe tayari kufanya jambo lolote ili ufanikiwe hatakama ni kupinga maadui zako na kukabiliana na magumu yote huku ukiwaunga mkono rafikizako.
WWW.FALISAFA.BLOGSPOT.COM

0 comments

Falsafa za ushindi na maarifa (busara)


It's better to be a lion for a day than a sheep all your life.BY
Elizabeth Kenny 
NIVYEMA KUWA SIMBA KWA MUDA KULIKO KUWA KONDOO MILELE.Inalenga kuwataka watu kutokuwa woga au kuchukuwa maamuzi magumu hatakama wataonekana au kafsirika vibaya katika hali ya ukali zaidi

Winning is not everything, but wanting to win is.BY
Vince Lombardi 
USHINDI SIO KILA KITU BALI KUSUBIRI NDIVYO....Inalenga kuwataka watu kutokukatatamaa pindi maisha au wanapojiona kushindwa katika hali fulani kwani subira pia ni sehemu ya ushindi.

A good decision is based on knowledge and not on numbers.BY
Plato...
 MAAMUZI MAZURI HUEGEMEA MAARIFA NA SIO UMRI...Hulenga kuwataka watu kutokufanya maamuzi ambayo sio sahihi kwa madai ya vyeo vyao au umri walionao bali maarifa. 
0 comments

Everything that we see is a shadow cast by that which we do not see. Martin Luther King, Jr.

KILA TUNACHOKIONA NI KIVULI CHA VILE TUSIVYO VIONA
0 comments

KARIBU NDUGU, TUNALENGA KUTOA FALSAFA MBALIMBALI DUNANI

0 comments
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. FALSAFA LEO - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger